GET /api/v0.1/hansard/entries/1030118/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1030118,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1030118/?format=api",
    "text_counter": 206,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Changamwe, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Omar Mwinyi",
    "speaker": {
        "id": 1345,
        "legal_name": "Omar Mwinyi Shimbwa",
        "slug": "omar-mwinyi-shimbwa"
    },
    "content": " Asante, Mhe. Spika. Ningependa kusema kuwa ingawa wamechaguliwa na tajriba ingekuwa vyema ikiwa Wakenya wengine wangechaguliwa. Kwa hivyo, naipinga hii Ripoti. Ningependa kuwaomba Wabunge wenzangu ambao bado hawajapata nafasi ya kuzungumza kuipinga Ripoti hii."
}