GET /api/v0.1/hansard/entries/1030498/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1030498,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1030498/?format=api",
    "text_counter": 192,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante, Bi. Naibu Spika, kwa kunipa fursa hii kuchangia Taarifa iliyoletwa Bungeni na Sen. Shiyonga. Ni jambo la kutamausha kuwa Waziri Magoha alimkejeli na kumtusi afisa wa elimu katika eneo la Rift Valley kwa njia ambayo haikuwa sawa kulingana na maadili ya bindadamu. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}