GET /api/v0.1/hansard/entries/1030543/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1030543,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1030543/?format=api",
    "text_counter": 237,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Temporary Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Asante sana, Sen. Omanga. Sen. (Dr.) Gertrude Musuruve, unaweza pia kuchangia. Kabla uchangie, ningependa kusema; hongera kwa akina mama kwa kuchaguliwa kwa mwanamke wa kwanza kama Makamu wa Rais katika Jamhuri ya Umoja wa kule Marekani. Sen. (Dr.) Gertrude Musuruve, una nafasi yako. Naona una nguo nzuri ya kijani kibichi."
}