GET /api/v0.1/hansard/entries/1030555/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1030555,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1030555/?format=api",
    "text_counter": 249,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Temporary Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Asante sana Sen. Wambua. Nafikiri kuwa Spika mwenyewe, Hon. Lusaka, aliarifu Jumba hili lakini nitarejelea jambo hilo. Kwa sababu ya ule uamuzi wa korti, inamaanisha kuwa tuna muda mwingi hivi sasa kwa sababu zile Miswada zote 23 na zingine zaidi ya 10, inafaa kuletwa upya katika Seneti. Hiyo inamanisha kuwa, tuna muda mwingi. Ndiposa tumechukua huu muda kupea wale Maseneta walio na Taarifa na Kauli nafasi ili waweze kujieleza. Kwa hivyo, ni jambo la kukusudia. Natumaini tunaelewana. Mheshimiwa Faki, endelea."
}