GET /api/v0.1/hansard/entries/1030557/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1030557,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1030557/?format=api",
"text_counter": 251,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, kwa hivyo, nafasi hii ikipatikana, itakuwa ni wakati mzuri wa kuuliza maswali ya kiufundi ama ya kiteknolojia kuhusiana na hawa wakurugenzi wa Safaricom. Hiyo ni ili kuona kwamba mwananchi hapunjwi katika huduma wanazopata kutokana na mashirika haya."
}