GET /api/v0.1/hansard/entries/1030570/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1030570,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1030570/?format=api",
    "text_counter": 264,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Temporary Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Asante Sana, Seneta Olekina. Ningependa kukusifu kwa mavazi yako ya kiasili. Hiyo inafaa kuwa utamaduni, wala siyo kuvaa suti za kizungu kama ambao bado tunaenzi Ukoloni. Ni muhimu kwa Mabunge yote ya Afrika, Kenya ikiongoza, tujue tuna tamaduni na hulka zetu. Na Kwamba, mienendo ni muhimu kwa maendeleo. Ningependa kumpa fursa Mratibu wa walio Wengi, Sen. Kang’ata, Seneta wa Murang’a, aweze kuchangia."
}