GET /api/v0.1/hansard/entries/1030588/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1030588,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1030588/?format=api",
    "text_counter": 282,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuchangia kwa Taarifa ya Sen. Were. Nataka kuchangia kuhusu utawala wa Safaricom ambao unaonekana umekuwa mkubwa katika uchumi wetu wa nchi. Kwanza, tujiulize ni kwa nini wanaongoza katika hiyo idara. Hii ni kwa sababu, huduma zao ni za kufaa na katika ule ushindani ulioko, wameegeza hela nyingi katika biashara yao ukilinganisha na wengine katika sekta hiyo. Pengine wale wanaochelewa kidogo hujipata taabani na hawawezi kushindana na kampuni hiyo. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}