GET /api/v0.1/hansard/entries/1030589/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1030589,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1030589/?format=api",
"text_counter": 283,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Jambo la kuvunja moyo ni kwamba, huwezi kujua kama maajenti wa Safaricom ni watu wanaohusika sana na mambo ya pesa. Sijui niseme kwamba wanafanya vizuri ama vibaya kwa sababu ukitembea sehemu zote za nchi, utapata maajenti wa Mpesa wako kila mahali. Uzuri ni kuwa, mtu akiwa mgonjwa anaweza kupata pesa kwa haraka. Pia wameleta mambo mengine mapya. Kuna mikopo kutumia simu kama vile Fuliza . Jambo la muhimu ni kuwaambia kuwa kama wanashughulika na mambo ya pesa-- -"
}