GET /api/v0.1/hansard/entries/1030596/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1030596,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1030596/?format=api",
    "text_counter": 290,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaura",
    "speaker_title": "The Temporary Speaker",
    "speaker": {
        "id": 13129,
        "legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
        "slug": "isaac-mwaura"
    },
    "content": " Muda wako umekwisha. Kwa kuwa utakuwa na muda mwingi wa kuchangia, acha tuahirishe mjadala huo mpaka wakati ambapo Taarifa hiyo italetwa kwa Kamati yako. Kwa sababu muda umeyoyoma, hatutaweza kuangalia Ripoti za Kamati tofauti tofauti. Sen. Faki alikuwa amesema kuwa Ripoti za Wenyeviti huchukua muda mwingi. Kwa kuwa tumesalia na kama robo saa, ningependa kumwita Kiongozi wa Wengi katika Seneti ama mwakilishi ili tushughulikie Hoja ya Nane."
}