GET /api/v0.1/hansard/entries/1030628/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1030628,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1030628/?format=api",
    "text_counter": 322,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Temporary Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Waheshimiwa Maseneta, sasa hivi ni saa kumi na mbili unusu na hatuna akidi – yaani quorum - ya Kikao hiki cha Bunge la Seneti. Tuko na Maseneta kumi na moja. Kwa hivyo, ninaaihirisha kikao hiki cha Seneti mpaka kesho, Jumatano, tarehe kumi na moja, Novemba, 2020, saa nane unusu."
}