GET /api/v0.1/hansard/entries/1030943/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1030943,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1030943/?format=api",
"text_counter": 314,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante Bi. Naibu Spika kwa kunipa fursa hii. Kwanza, tukubaliane kwamba ripoti iliyotolewa na Kamati ya Sheria na Haki za Kibinadamu inafaa kuungwa mkono. Tunafaa kujua jinsi tutakavyosongeza mjadala huu mbele. Kuna msemo wa Kiswahili kuwa “wingi si hoja”. Seneti inaweza kuongezewa Maseneta hadi 290 lakini hatutakuwa tumesaidia kwa yale ambayo Seneti inafaa kufanya kwa sababu haitakuwa na uwezo wowote. Tunafaa kuwa na Seneti iliyo na mamlaka kama vile wengine katika taasisi tofauti tofauti wameongezewa. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}