GET /api/v0.1/hansard/entries/1031246/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1031246,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1031246/?format=api",
    "text_counter": 201,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Baringo CWR, KANU",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Gladwell Cheruiyot",
    "speaker": {
        "id": 13231,
        "legal_name": "Gladwell Jesire Cheruiyot",
        "slug": "gladwell-jesire-cheruiyot"
    },
    "content": " Thank you, Hon. Speaker. I also rise to support this Motion. Baringo ni sehemu ambayo bado ukeketaji unatekelezwa dhidi ya wasichana wetu. Katika sehemu nyingine, akina mama walioolewa bila kufanyiwa ukeketaji bado wanakeketwa. Tunajua kuwa jambo hili lilikuwa limetupiliwa mbali. Tumejaribu sana kupiga jambo hili lakini tumeshindwa. Sababu ni kuwa, wale ambao wanafaidika na sehemu hii hawajajitokeza kupigana vita hivi. Tumekuwa tukiwasiliana na akina mama na wasichana tu. Lakini wanaume wanaotumia sehemu hii hawajapatia kipaumbele vita dhidi ya jambo hili. Wale wanaotumia kiungo hicho hawaji mbele kusema kwamba wakionja hiki ama kile, kuna tofauti, ili wanawake waache ukeketaji. Tunataka wanaume waje mbele watueleze kati ya kile kisimi ambacho kimekatwa na kile ambacho hakijakatwa, ni kipi kizuri."
}