GET /api/v0.1/hansard/entries/1031257/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1031257,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1031257/?format=api",
"text_counter": 212,
"type": "speech",
"speaker_name": "Baringo CWR, KANU",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Gladwell Cheruiyot",
"speaker": {
"id": 13231,
"legal_name": "Gladwell Jesire Cheruiyot",
"slug": "gladwell-jesire-cheruiyot"
},
"content": "ya Safaricom. Katika hali hiyo, hata afya ya wanawake inadhulumiwa kwa sababu kitendo cha ndoa kinakuwa ni kama kulazimishwa. Wakati wa kuzaa, wanatuambia kuwa uchungu ni mwingi sana, ilhali tunaendelea kuwalazimisha kukeketwa. Tunawaomba wanaume waje mbele tupigane vita hivi pamoja. Watueleze gani ndio bora kuliko nyingine."
}