GET /api/v0.1/hansard/entries/1031359/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1031359,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1031359/?format=api",
"text_counter": 314,
"type": "speech",
"speaker_name": "Igembe South, Independent",
"speaker_title": "Hon. John Paul Mwirigi",
"speaker": {
"id": 1574,
"legal_name": "Cyprian Kubai Iringo",
"slug": "cyprian-kubai-iringo"
},
"content": "wakati mwingine Serikali hufikiria kuwa hakuna watu ambao wanafika kule, ni vizuri wakati ambapo tuko na machifu wanaoongoza kule vijijini pia watwikwe jukumu hili ili waweze kutekeleza wajibu wao kuhakikisha kwamba ukeketaji umekomeshwa."
}