GET /api/v0.1/hansard/entries/1031360/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1031360,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1031360/?format=api",
    "text_counter": 315,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Igembe South, Independent",
    "speaker_title": "Hon. John Paul Mwirigi",
    "speaker": {
        "id": 1574,
        "legal_name": "Cyprian Kubai Iringo",
        "slug": "cyprian-kubai-iringo"
    },
    "content": "Ni kwa sababu ni vibaya sana wakati ambapo umeolewa halafu wakati wa kupata mtoto, njia ya uzazi iwe imefungwa . Basi ni jambo ambalo lafaa kuchukuliwa kwa uzito sana. Wakati tunapitisha hii sheria, isiwe tu ni kupitisha bali inafaa ianze kufanya kazi ili yule ambaye anafanya jambo hili achukuliwe hatua kali. Hii ni sababu sio vyema kuangalia tu wasichana wakati ambapo wanafanyiwa tendo hili la kinyama. Kwa hayo machache, ninaunga mkono Hoja hii. Asante."
}