GET /api/v0.1/hansard/entries/1031435/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1031435,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1031435/?format=api",
"text_counter": 390,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mvita, ODM",
"speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
"speaker": {
"id": 2433,
"legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
"slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
},
"content": "Jambo hili si la Kenya peke yake. Nchi ya Ethiopia ilifanya jambo hili. Napendekeza Serikali iregee chini ianze kuzungumuza na Serikali ya China wakubaliane vile mikopo itakavyolipwa. Tumegundua kuwa gharama kuu zaidi ya kuendesha SGR ni malipo kwa kampuni fulani kila mwezi ya takribani bilioni. Ni lazima waangalie njia kwa sababu Wakenya wanaumia na pesa zinaenda kwa shirika fulani peke yake."
}