GET /api/v0.1/hansard/entries/1032056/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1032056,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1032056/?format=api",
"text_counter": 348,
"type": "speech",
"speaker_name": "The Temporary Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Asante sana. Naona niko na Sen. (Dr.) Ochillo-Ayacko, Sen. Halake, Sen. Wario, Sen. M. Kajwang’, na Sen. Mwaruma. Muda umeyoyoma. Nafikiri mngependa kuchangia. Hatutasitisha huu Mjadala, lakini sijui kama itawezekana kwamba nyote mnataka kuzungumza katika kikao hiki. Kama ni hivyo basi tupatie kila mtu dakika nne. Haitawezekana. Kwa hivyo, tuendele tu. Haya basi tumpatie nafasi Sen. (Dr.) Ochillo- Ayacko."
}