GET /api/v0.1/hansard/entries/1032066/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1032066,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1032066/?format=api",
    "text_counter": 358,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Temporary Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Asante sana kwa vile ambavyo umeongea kwa ufasaha wa Kiswahili hususan kuunga mkono kwamba Kiswahili kiweze kutukuzwa. Sijui kwa nini mara nyingi huwa naona watu wakihofia kuzungumza kwa Kiswahili. Sio lazima uzungumze kwa ufasaha, kwa sababu, lugha hii sisi katika Bunge la Seneti ndio wa kwanza kuendesha vikao katika lugha ya Kiswahili. Wale wa Bunge la Taifa waliwahi kutupiku. Kwa hivyo, ningependa kusema kwamba jopo kazi ambalo linatengeneza Kanuni za Kudumu za Bunge hili liweze kuharakisha, ndiposa tuweze kuonyesha mfano mwema. Sen. M. Kajwang’, endelea."
}