GET /api/v0.1/hansard/entries/1032357/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1032357,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1032357/?format=api",
    "text_counter": 266,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": "tena. Hii imeshatokea mara mingi. Wanaenda na maboti huko na kisha wakifika wanasema hawarudi hadi wachukuliwe na helicopta, kwa sababu bahari imekuwa mbaya sana. Pia Kamati ijue kwamba wakati mwingine wanaangalia maeneo maalum ya kiuchumi na tunapata ripoti mbili tofauti. Kwa mfano, Lamu kuna maeneo maalum ya kiuchumi mawili. Moja imefanywa na Lamu Port-South Sudan-Ethiopia Transport (LAPSSET) Corridor na nyingine na kaunti. Sasa tunachaganyikiwa kwa sababu hawa wanafanya na wengine wanafanya. Tunaomba kuwe na mpangilio, sio mtu arauke atoke na moja na mwingine na nyingine. Ahsante naunga mkono."
}