GET /api/v0.1/hansard/entries/1032589/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1032589,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1032589/?format=api",
"text_counter": 128,
"type": "speech",
"speaker_name": "Laikipia North, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Sara Korere",
"speaker": {
"id": 13134,
"legal_name": "Sara Paulata Korere",
"slug": "sara-paulata-korere"
},
"content": "Nikimnukuu Mhe. Rais, alizungumzia yale waliweza kufanya kama Serikali ili kupunguza makali ambayo Wakenya wanapitia, kwa sababu ya hali ya uchumi na ukosefu wa biashara. Baadhi ya kodi ambazo zimepunguzwa ili kukabiliana na makali ya virusi vya Korona ni dhibitisho tosha kwamba Mhe. Rais anajali taifa la Kenya, wachuuzi na wafanyi biashara wadogo."
}