GET /api/v0.1/hansard/entries/1032592/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1032592,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1032592/?format=api",
"text_counter": 131,
"type": "speech",
"speaker_name": "Laikipia North, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Sara Korere",
"speaker": {
"id": 13134,
"legal_name": "Sara Paulata Korere",
"slug": "sara-paulata-korere"
},
"content": "Mhe. Naibu Spika, ninaona muda wangu umeisha lakini sitakosa kuongea kuhusu usalama wa nchi hii. Kweli, nchi yetu ni salama kutokana na hatari za nje lakini nchi yetu si salama kutokana na hatari ya sisi kwa sisi. Nitokako mimi kuna ujambazi ambao umekita mizizi, haswa wizi wa mifugo na uvamizi. Kule kwetu, watu hawaogopi virusi vya Korona. Wanaogopa wezi wa mifugo. Nashangaa kwamba askari ambao wanafanya kazi katika eneo gumu kama hilo ni wale wa ziada, kwa kimombo wanaoitwa Kenya Police Reservists (KPR). Lakini baada ya miezi michache…"
}