GET /api/v0.1/hansard/entries/1032662/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1032662,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1032662/?format=api",
"text_counter": 201,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": "Kiswahili kitukuzwe kwani ni lugha ya Taifa. Leo mchana, itabidi watu wazungumze Kiswahili. Kwa hivyo, tuanze kujifundisha. Hata sisi kuna mambo mengine ambayo hutushinda na sisi hujitahidi kujua mambo hayo yana maana gani."
}