GET /api/v0.1/hansard/entries/1032840/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1032840,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1032840/?format=api",
"text_counter": 104,
"type": "speech",
"speaker_name": "Emurua Dikirr, KANU",
"speaker_title": "Hon. Kipyegon Ng’eno",
"speaker": {
"id": 1453,
"legal_name": "Johana Ngeno Kipyegon",
"slug": "johana-ngeno-kipyegon"
},
"content": " Mhe. Naibu Spika, sisi wote ambao tuko hapa, hata kama tuko literate ama illiterate, tulichaguliwa na watu. Mtu akiwa Kiongozi wa Wachache, asifikirie amesoma kuliko wengine. Hata sisi tumesoma rafiki yangu. Tulichaguliwa na watu ambao walituleta hapa. Hauna cheo cha kuongea vibaya kuhusu Wabunge wengine ambao walichaguliwa kama wewe."
}