GET /api/v0.1/hansard/entries/1033023/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1033023,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1033023/?format=api",
"text_counter": 12,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kimilili, JP",
"speaker_title": "Hon. Didmus Barasa",
"speaker": {
"id": 1885,
"legal_name": "Didmus Wekesa Barasa Mutua",
"slug": "didmus-wekesa-barasa-mutua"
},
"content": " Mhe. Spika, mimi naunga mkono maombi ya Meja Mstaafu. Natumai kwamba Kamati itakapoangalia masuala haya muhimu ambayo yamegusiwa, Wakenya watapata changamoto ili waendelee kupanda miti katika mashamba yao. Hii ni kwa sababu hakuna haja Mkenya kukosa makao kama kuna mahali pamoja ambapo msitu uko wa ekari nyingi zaidi. Inafaa tuangalie vile tunaweza kuwasaidia Wakenya watumie yale mashamba pasipo kuingilia na kuchafua mazingira. Kwa hivyo, naunga mkono maombi haya. Asante Mhe.Spika."
}