GET /api/v0.1/hansard/entries/1033234/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1033234,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1033234/?format=api",
"text_counter": 223,
"type": "speech",
"speaker_name": "Baringo CWR, KANU",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Gladwell Cheruiyot",
"speaker": {
"id": 13231,
"legal_name": "Gladwell Jesire Cheruiyot",
"slug": "gladwell-jesire-cheruiyot"
},
"content": "Kwa mambo ya uongozi wa akina mama, wengi wanasema kwamba tumepoteza. Kwangu mimi nasema hatujapoteza maanake nafasi zile zimependekezwa ni nafasi mpya za Seneti. Sio kwamba tunahamishwa kutoka Chumba hiki na kupelekwa Chumba kingine. Ni nafasi zingine mpya ambazo zimetengenezewa wanawake waweze kuchaguliwa. Tuko na nafasi ya kuchaguliwa kwenda Seneti ama kubaki kwa Bunge la Taifa. Mimi naunga mkono Hotuba ya Rais."
}