GET /api/v0.1/hansard/entries/1033237/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1033237,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1033237/?format=api",
"text_counter": 226,
"type": "speech",
"speaker_name": "Malindi, ODM",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Aisha Jumwa",
"speaker": {
"id": 691,
"legal_name": "Aisha Jumwa Katana",
"slug": "aisha-jumwa-katana"
},
"content": "tuko na cover kubwa. Kwa nini basi tusiangalie tena tukabadilisha vifungo na kusema ya kwamba labda cover zetu zipelekwe katika bima ya kitaifa na sisi wote kama Wabunge tuwe tunatibiwa katika hospitali za hapa nchini ambazo si private, but public hospitals?"
}