GET /api/v0.1/hansard/entries/1033252/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1033252,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1033252/?format=api",
"text_counter": 241,
"type": "speech",
"speaker_name": "Likoni, ODM",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Mishi Mboko",
"speaker": {
"id": 874,
"legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
"slug": "mishi-juma-khamisi"
},
"content": "Namshukuru Mhe. Rais kwa kutujengea daraja katika Eneo Bunge langu likishikana na Eneo Bunge la Mvita. Kwa sababu ya mambo ya Corona, watu wa Likoni walikuwa na changamoto kubwa sana kujikinga na janga hili. Hivyo basi, daraja hili litaweza kutusaidia kwa ule msongamano na tuweze kusafiri na kuendelea na shughuli zetu."
}