GET /api/v0.1/hansard/entries/1033258/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1033258,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1033258/?format=api",
    "text_counter": 247,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kilifi South, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Ken Chonga",
    "speaker": {
        "id": 13374,
        "legal_name": "Richard Ken Chonga Kiti",
        "slug": "richard-ken-chonga-kiti"
    },
    "content": " Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nataka kuchukua nafasi hii kupongeza Hotuba ya Mhe. Rais kwa sababu kuna mswala mengi sana yameleta utata katika utendaji kazi na ni kama yameguziwa pale. Kwanza, ningetaka kufurahia na kusherehekea ambalo halikutajwa katika Hotuba ya Mhe. Rais mwaka jana. Hii ni kuhusu zile dhuluma za kihistoria kuhusu maswala ya ardhi kwa kimombo"
}