GET /api/v0.1/hansard/entries/1033260/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1033260,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1033260/?format=api",
    "text_counter": 249,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kilifi South, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Ken Chonga",
    "speaker": {
        "id": 13374,
        "legal_name": "Richard Ken Chonga Kiti",
        "slug": "richard-ken-chonga-kiti"
    },
    "content": ". Mwaka jana, swala hilo halikuzungumziwa. Mimi nikiwa kiongozi kutoka Eneo Bunge la Kilifi Kusini, niko na mengi ambayo hayanipi usingizi haswa nikitafakari suala hili la dhuluma ya mashamba. Hata nikisimama hapa, tayari niko na petition yangu ambayo nishaileta hapa Bungeni kuhusu vile shamba kubwa la Vipingo ambalo lilikuwa limepewa mzungu wakati wa ukoloni afanye ukuzaji wa makonge lakini kufikia hivi sasa, takriban nusu yake limechukuliwa na mabwenyenye bila wenyeji kupatiwa fidia yoyote. Hilo lisitoshe, tuko na masuala ya wale wenye mashamba ambao hawajulikani. Nasikia wengine wako uarabuni na wengine ndani ya Kenya hii lakini mashamba makubwa makubwa yameshamilikiwa nao. Mabwenyenye wengi mara kwa mara wanapata nafasi hii. Wakishajua kuna mashamba kama The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}