GET /api/v0.1/hansard/entries/1033295/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1033295,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1033295/?format=api",
    "text_counter": 284,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nominated, FORD-K",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Nasri Ibrahim",
    "speaker": {
        "id": 13173,
        "legal_name": "Nasri Sahal Ibrahim",
        "slug": "nasri-sahal-ibrahim"
    },
    "content": " Asante Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii ya kuchangia Hotuba ya Rais. Hotuba ya Rais ilikuwa nzuri sana na tuliifurahia. Kwa kiwango cha afya, almaarufu universal healthcare (UHC), tumeikaribisha na kuifurahia lakini ina matatizo yake. Kama una kadi ya NHIF na haikusaidii wakati uko mgonjwa, sioni faida yake. Juzi huko Nyeri, nilisikia watu wakilalamika kuwa hospitali nyingi hazichukui kadi ya NHIF. Hiyo inaleta shida. Katika elimu, Mheshimiwa Rais alituambia umuhimu na faida ya elimu. Ni vizuri na tuliifurahia. Alisema ni lazima madarasa yajengwe na National Government – Constituencies"
}