GET /api/v0.1/hansard/entries/1033301/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1033301,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1033301/?format=api",
    "text_counter": 290,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Tana River CWR, MCCP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Rehema Hassan",
    "speaker": {
        "id": 13275,
        "legal_name": "Rehema Hassan",
        "slug": "rehema-hassan"
    },
    "content": "Tafadhali, wale ambao wanawakilisha ofisi ya Rais, wamepatiwa majukumu, wajue kuna wengine bado wanateseka. Nimefurahi leo kwa sababu mwenzangu amesifu zile kilomita za barabara wamepata kwao. Mimi sina la kujivunia kama mama wa Kaunti ya Tana River, kwa sababu barabara ya kwangu mpaka sasa ni mbaya. Hata tone la mvua likianguka hivi, usafiri kwangu Tana River ni shida. Kwa hivyo, wale mnaotumwa, msitubague. Mfanye Rais awache"
}