GET /api/v0.1/hansard/entries/1033305/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1033305,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1033305/?format=api",
    "text_counter": 294,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Tana River CWR, MCCP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Rehema Hassan",
    "speaker": {
        "id": 13275,
        "legal_name": "Rehema Hassan",
        "slug": "rehema-hassan"
    },
    "content": "Kenya ni yetu na ni kubwa kushinda watu wote. Pia, katika hilo suala la BBI, sioni kama mwanamke anatendewa haki. Ile nafasi ya wanawake 47 ambao ni wawakilishi wa kaunti ibaki katika Bunge la Kitaifa na watupatie wawakilishi wengine kutoka Bunge la Seneti. Wale wengine The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}