GET /api/v0.1/hansard/entries/1033322/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1033322,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1033322/?format=api",
"text_counter": 311,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kasarani, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Mercy Wanjiku",
"speaker": {
"id": 13364,
"legal_name": "Mercy Wanjiku Gakuya",
"slug": "mercy-wanjiku-gakuya-2"
},
"content": " Asante, Bi. Naibu Spika wa Muda. Langu ni kuunga mkono Hotubu ya Rais aliyoitoa hapa Bunge. Ilikuwa ya kufana kabisa. Kwanza, alianza na ahadi ambapo alisema ni vizuri tuweke ahadi kwa Mungu na kwa nchi yetu. Hii ni kwa sababu ahadi hunawiri kwa ukweli; na ukweli hauna pande mbili. Ukweli ni pande moja. Na cha mno sana, Rais alisema kuwa, kama Musa kwenye Bibilia, ameona mbele kuhusiana na nchi yetu. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}