GET /api/v0.1/hansard/entries/1033376/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1033376,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1033376/?format=api",
"text_counter": 365,
"type": "speech",
"speaker_name": "Igembe South, Independent",
"speaker_title": "Hon. John Paul Mwirigi",
"speaker": {
"id": 1574,
"legal_name": "Cyprian Kubai Iringo",
"slug": "cyprian-kubai-iringo"
},
"content": "kazi na kama Serikali itaweza kuangalia vijana na kuwasaidia katika kufanya biashara, nadhani vijana wetu watakuwa na jambo la kujivunia sababu ni watu wa kujifanyia kazi. Kwa hayo machache, naomba kuunga na kuhimize watu wote ambao wanafanya kazi chini ya Rais Uhuru Kenyatta..."
}