GET /api/v0.1/hansard/entries/1033548/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1033548,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1033548/?format=api",
    "text_counter": 165,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13200,
        "legal_name": "Issa Juma Boy",
        "slug": "issa-juma-boy"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Spika. Kwanza ninakushukuru kwa kunipatia fursa hii ili niweze kuchangia. KFS ni kiungo muhimu sana kwa watu wa Pwani. Jambo kama hili alilozungumzia Sen. Faki kuhusu KFS kuchukuliwa na kupelekwa ndani ya KPA, si sawa katika nchi hii ya Kenya."
}