GET /api/v0.1/hansard/entries/1033549/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1033549,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1033549/?format=api",
    "text_counter": 166,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13200,
        "legal_name": "Issa Juma Boy",
        "slug": "issa-juma-boy"
    },
    "content": "Ukiangalia kinyume kabisa, sisi kama viongozi wa Pwani hatukuhusishwa. Hakuna mtu yeyote anayejua kwamba KFS itachukuliwa na iungalishwe na KPA. Tungepewa fursa kama viongozi wa Pwani kuulizwa na tujue tutafanya nini kuhusu jambo hili la KFS."
}