GET /api/v0.1/hansard/entries/1033550/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1033550,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1033550/?format=api",
    "text_counter": 167,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13200,
        "legal_name": "Issa Juma Boy",
        "slug": "issa-juma-boy"
    },
    "content": "Bw. Spika, kwa upande wangu, ninaonelea kuwa jambo hili lisimanishwe kwa sasa ili viongozi wote wajadiliane kuhusu jambo hili. Bila kufanya hivyo, itakua shida kubwa sana kwa watu wa Pwani. Afadhali ichukuliwe, ikabidhiwe kwa Kaunti ya Mombasa iendeleze hii KFS. Bila hivyo, itakua shida sana kwa sisi viongozi wa Pwani."
}