GET /api/v0.1/hansard/entries/1033635/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1033635,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1033635/?format=api",
"text_counter": 252,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Sakaja",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13131,
"legal_name": "Johnson Arthur Sakaja",
"slug": "johnson-arthur-sakaja"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, vile umesema ni kweli. Kuna Taarifa ambayo Sen. Omogeni aliitisha. Nimesema kwamba tuko tayari na tuna uwezo wa kuangalia mambo hayo. Wakati alileta Taarifa hiyo, Kamati tofauti ilipewa jukumu la kuishughulikia. Hata hivyo, nimesema kwamba, niko tayari ikiwa amri itatolewa kutoka kwa ofisi ya Spika ili Taarifa hiyo ishughulikiwe na Kamati ya Leba na Maswala ya Kijamii. Ikiwa hivyo, tutaishughulikia pamoja na Taarifa za Sen. (Dr.) Lang’at na Sen. Cheruiyot."
}