GET /api/v0.1/hansard/entries/1033637/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1033637,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1033637/?format=api",
"text_counter": 254,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Sakaja",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13131,
"legal_name": "Johnson Arthur Sakaja",
"slug": "johnson-arthur-sakaja"
},
"content": "Wanafaa kuamua; isiwe wanaweka bet moja hapa na nyingine kwingineko ili bet moja ikichomeka wawe sawa. Tuko tayari kushughulikia maombi yao. Hata hivyo, wanafaa kuondoa kesi yao kortini kwa sababu Seneti inaweza kutatua mambo hayo haraka kuliko jinsi itatatuliwa kortini kwa sababu tunaweza kutatua kwa siku saba. Tuko tayari wakiamua kuwa wanataka Seneti ishughulikie wala sio korti."
}