GET /api/v0.1/hansard/entries/1033702/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1033702,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1033702/?format=api",
"text_counter": 319,
"type": "speech",
"speaker_name": "The Temporary Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Samahani. Muda wako umemalizika. Asante sana kwa mchango wako. Umechangia pakubwa kuhusu afya ya akili, lakini leo hujazungumzia kuhusu deni na mikopo kwa sababu hilo ni jambo kubwa ambalo lipo. Nampa fursa hii Kiongozi wa Walio Wachache, Wakili Mwandamizi Mkuu, mwanasheria, Seneta James Orengo, ili aweze kuchangia. Na kwa sababu alisomea Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, sijui kama ni leo ama ni siku nyingine, ningelipenda azungumze kwa Kiswahili. Seneta James Orengo, una nafasi."
}