GET /api/v0.1/hansard/entries/1033703/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1033703,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1033703/?format=api",
    "text_counter": 320,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Orengo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 129,
        "legal_name": "Aggrey James Orengo",
        "slug": "james-orengo"
    },
    "content": " Bw. Spika wa Muda, kwa vile umesema nizungumze kwa Kiswahili, nitajaribu nizungumze kwa lugha ya Kiswahili. Kwanza, pongezi kubwa kwa Rais Uhuru Kenyatta kwa Hotuba aliyotoa hapa Bungeni. Alizungumzia mambo kadhaa. Ni muhimu kwake kuhutubia Bunge kila mwaka ili kueleza mambo yanayoendelea nchini na hasa yale ambayo yameelezwa katika Kipengele 132 cha Katiba ya Kenya. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}