GET /api/v0.1/hansard/entries/1033707/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1033707,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1033707/?format=api",
    "text_counter": 324,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Orengo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 129,
        "legal_name": "Aggrey James Orengo",
        "slug": "james-orengo"
    },
    "content": "Sifa ya mnafiki ni kwamba ukimtuma mahali popote, ujumbe utakaompa utakuwa ni mambo mengine. Atasema uongo kwa sababu hawezi kusema kile ulimtuma. Hizo ni sifa tatu. Kati ya hizo sifa tatu, mbili ni mbaya zaidi. Sifa hizo mbili ni uongo na wizi."
}