GET /api/v0.1/hansard/entries/1033708/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1033708,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1033708/?format=api",
"text_counter": 325,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Orengo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 129,
"legal_name": "Aggrey James Orengo",
"slug": "james-orengo"
},
"content": "Mwaka huu sisi hatutaki mambo ya 2022. Wananchi walichagua Serikali na viongozi. Kwa hivyo, bado tuna miaka miwili. Katika nchi ya Italia, kuna serikali zingine hupewa mwaka mmoja tu kufanya kazi na kuondolewa. Kule Marekani, wambuge wa"
}