GET /api/v0.1/hansard/entries/1033711/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1033711,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1033711/?format=api",
"text_counter": 328,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaura",
"speaker_title": "The Temporary Speaker",
"speaker": {
"id": 13129,
"legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
"slug": "isaac-mwaura"
},
"content": " Kongole kwa sababu umezungumza kwa Kiswahili cha ufasaha. Hiyo ni idhibati kuwa Sen. Orengo ambaye ni Kiongozi wa Wachache alihudhuria mihadhara yote ya kisheria katika Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam. Changamoto tuliyonayo ni kwamba nguzo ya upinzani imewiana na kushikamana na nguzo ya Serikali. Sasa hivi, huwezi kujua nani yuko katika Serikali na nani yuko kwenye upinzani. Hapa tuna Kiongozi wa Wengi. Ni jukumu la Serikali kuhakikisha kwamba imeridhisha maswala yote yanayoibuka kuhusu utendakazi wake ili wananchi wasionekane kuwa wametelekezwa. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}