GET /api/v0.1/hansard/entries/1033712/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1033712,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1033712/?format=api",
"text_counter": 329,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaura",
"speaker_title": "The Temporary Speaker",
"speaker": {
"id": 13129,
"legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
"slug": "isaac-mwaura"
},
"content": "Kwa muhtasari, hongera Sen. Orengo kwa mdahalo mzuri na kuchangia kwa mapana na marefu. Ningependa sana kuona Maseneta wengi wakizungumza kwa Kiswahili. Siko hapa kama mkufunzi wa kusahihisha lugha. Zungumza vile upendavyo. Kabla nimwachie Sen. Pareno kuendelea, nitampa fursa Sen. (Dr.) Milgo."
}