GET /api/v0.1/hansard/entries/1033721/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1033721,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1033721/?format=api",
"text_counter": 338,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Pareno",
"speaker_title": "The Temporary Speaker",
"speaker": {
"id": 13180,
"legal_name": "Judith Ramaita Pareno",
"slug": "judith-ramaita-pareno"
},
"content": " Kulingana na sheria zetu za Bunge, huwezi kulazimisha Mbunge kuongea kwa lugha fulani, lakini anaweza kuchagua kuongea kwa Kiswahili ama Kiingereza. Kwa hivyo, siwezi nikamlazimisha yeyote, lakini ni kuwaomba tu, yule ambaye anajisikia kuongea Kiswahili, ama anaweza kumudu lugha ya Kiswahili, tunamkaribisha aendelee hivyo, lakini hatuwezi kulazimisha."
}