GET /api/v0.1/hansard/entries/1033724/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1033724,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1033724/?format=api",
    "text_counter": 341,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Sakaja",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13131,
        "legal_name": "Johnson Arthur Sakaja",
        "slug": "johnson-arthur-sakaja"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, ninafafanua kwamba ufasaha wa lugha ni muhimu. Sikusema umlazimishe ama umuamrishe Seneta yeyote, ilhali, tuwahimize ya kuwa Kiswahili kitukuzwe. Ni kuhimiza wala si kuwaamrisha. Nimeshukuru Sen. (Prof.) Kindiki amenieleza hilo neno la utohozi au kuhimiza. Sio eti lazima lakini ni vizuri ili wale wanaosikiza nyumbani waone Sen. Shiyonga anajaribu kuzungumza kwa Kiswahili cha Kiluhya na Sen. Kwamboka kwa Kiswahili cha Kikisii. Hii itasaidia maandhari ya Seneti."
}