GET /api/v0.1/hansard/entries/1033734/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1033734,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1033734/?format=api",
"text_counter": 351,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kwamboka",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 9246,
"legal_name": "Beatrice Kwamboka Makori",
"slug": "beatrice-kwamboka-makori"
},
"content": "Mheshimiwa Rais alizungumzia janga la Virusi vya Corona (COVID-19) linaloathiri mataifa mengi. Haswa kuhusu Kenya, alitueleza mikakati ambazo amepanga kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19. Alisema kuwa katika kila kaunti, kuna pesa ambazo zimepewa magavana ili washughilkie hili janga, ili watu waishi kwa usalama. Kuna mikakati alioweka kama kupunguza mikutano ambayo watu wanaudhuria. Akasema kuwa idadi ya watu watakaohudhuria hiyo mikutani iwe ndogo."
}