GET /api/v0.1/hansard/entries/1033736/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1033736,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1033736/?format=api",
"text_counter": 353,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kwamboka",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 9246,
"legal_name": "Beatrice Kwamboka Makori",
"slug": "beatrice-kwamboka-makori"
},
"content": "Rais alizungumzia maneno ya afya ya kiakili. Vile tunavyojua, watu wengi wana shida nyingi na imeathiri akili zao. Kuna njaa na ukosefu wa kazi kwa vijana. Mambo haya yamechangia shida za afya ya kiakili."
}