GET /api/v0.1/hansard/entries/1033766/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1033766,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1033766/?format=api",
    "text_counter": 383,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bi Spika wa Muda, tumeona kwamba kumekuwa na hatua fulani ya Serikali kuingilia majukumu ambayo yanatakikana kufanywa na Serikali zote za kaunti katika Jamhuri hii yetu. Nashukuru kwa kunipa fursa hii ya kuweza kuchangia Hotuba ya Rais. Kabla sijamaliza, nilisikitishwa kwamba dadangu, Sen. (Dr.) Zani ambaye babake alikuwa ni mwalimu wa Kiswahili, ameweza kuchangia Hotuba hii ya Rais kwa lugha ya Kiingereza."
}